• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MABADILIKO YA MRADI WA UJENZI WA MADARASA NA VYOO KUTOKA SHULE YA MSINGI KIYOGA KWENDA SHULE YA MSINGI OLOKII KATA YA BWAWANI.....

Posted on: June 7th, 2023

MABADILIKO YA MRADI WA UJENZI WA MADARASA NA VYOO KUTOKA SHULE YA MSINGI KIYOGA KWENDA SHULE YA MSINGI OLOKII KATA YA BWAWANI


Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anautaarifu Umma, kutokea kwa mabadiliko ya mradi uliokuwa utekelezwe kwenye shule ya Msingi Kioga kata ya Ilkiding’a na kuhamishiwa shule ya msingi Olokii Kijiji cha Olmapinu kata ya Bwawani.


Aidha Mkurugenzi Msumi amezitaja sababu za kuhamishwa kwa mradi huo ni baada ya Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kujiridhisha kuwa shule hiyo haina eneo la kutosha kwa ajili ya kutekeleza mradi huo.


Fedha za mradi huo ZIMEPELEKWA shule ya Msingi Olokii badala ya shule ya Msingi Kioga kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali kwa kuzingatia taratibu za kuhamisha Miradi kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Ofisi ya Rais TAMISEMI na tayari fedha hizo zimeanza kutekeleza Mradi katika shule ya Msingi Olokii Kata ya Bwawani.


Ikumbukwe kuwa mapema mwezi Machi, 2023, Halmashauri ya Arusha ilipokea kiasi cha shilingi milioni 682.5 kutoka Serikali Kuu, kupitia Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa fursa sawa katika Ujifunzaji bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu kwenye shule 6 za msingi za halmashauri ya Arusha.


Katika mgao huo shule ya Msingi Kioga ilipangiwa fedha, kiasi cha shilingi milioni 81.3 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu manne ya vyoo.


Mradi wa BOOST unatekelezwa nchini kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2021/2022 – 2025/2026 ambayo itahusisha ujenzi wa shule mpya, madarasa na ukarabati wa miundombinu ya shule za msingi.

Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.