TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Mkurugenzi Mtendaji halmashuari ya Arusha, anawatangazia wananchi wote walioingia MKATABA WA KUPANGA VIBANDA VYA BIASHARA katika eneo la SEKEI iliyokiwa kata ya SOKON II mwaka 1994, kufika katika OFISI YA MKURUGENZI kabla ya tarehe 08.12.2021 kwa ajili ya KUTAMBULIWA na KUSAJILIWA.
Fika kwenye ofisi ya YA KITENGO CHA SHERIA ukiwa na NAKALA YA BARUA ULIYOPEWA NA KATA YA SOKON II iliyoonyesha masharti yaliyofikiwa kwa wakati huo.
Endapo hutafika kwa tarehe iliyopamgwa, utakuwa umejiondolea sifa na haki ya kuendelea kuwa MPANGAJI hivyo MKURUGENZI ATAKUWA NA MAMLAKA YA KUBADILI MATUMIZI AU KUWEKA MPANGAJI MWINGINE KATIKA KIBANDA CHAKO.
ARUSHA DC
KaziIndelee✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.