• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA MACHI HADI MEI 2019

17 February 2019

Wananchi  wilayani Arumeru, wametakiwa kuchukua tahadhari  juu ya matarajio ya mvua za masika zinazotarajia kuanza mapema kuanzia mwezi  Machi mpaka Mei, 2019.

Tahadhari hiyo imetolewa na Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Jerry Muro kupitia taarifa ya mwelekeo wa mvua inayotarajia kuanza mwezi ujao, kufuatia taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika, liyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania - TRA.

Mheshimiwa Muro livha ya kuwatahadharisha wananchi kuhusu matarajio ya mvua hizo, amewataka watalamu wa halmashauri kujiandaa mapema kisekta, ili kujikinga na madhara ambayo mara nyingi hutokana na mvua hizo za masika.

 Amesema kuwa, ni vema kujiandaa mapema, na kuitaka Idara ya Kilimo kuanza kuwaanda wakulima kwa ajili ya mapokezi ya mvua hizo, huku akisisitiza kuwaunganisha wakukima kupitia mitandao ya kilimo ndani na nje ya wilaya.

Amezitaka Mamlaka ya Barabara mijini na Vijijini -TARURA, kushirikiana na Idara ya Mazingira na usafishaji kupitia  maeneo yote korofi kwa kusafisha na kuzibua  mitaro pamoja na mifereji ambayo husababisha uharibifu wa barabara.

"Cha msingi ni kujiandaa mapema mtu wa kilimo asaidie wakulima kupitia mitandao yao , TARURA tujiandae na maeneo korofi na yale yenye kujaa maji tuangalie mitaro yetu mikubwa na tuhakikishe tunatumia Kamati za Mazingira na Usafishaji za kata kusafisha mapema " amesema mkuu huyo wa Wilaya.

Aidha ameitaka Idara ya Afya kupitia Waganga Wakuu, kuchukua tahadhari ya kipindupindu mapema kwa kudhibiti viashiria  hatari dhidi ya magonjwa ya milipuko.

Hata hivyo amewataka wananchi wote kujiandaa na ujio wa mvua hizo, pamoja na kuchukua tahadhari na madhara yanayoweza kujitokeza.

Bonyeza hapo chini kusoma taarifa ya TMA

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA MACHI HADI MEI 2019.pdf


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.