Friday 9th, May 2025
@VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI SEKEI KATA YA KIUTU
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, anawatangazia wananchi wote kushiriki Maadhimisho ya Siku ya mtoto wa Afrika, tarehe 16.06.2022, yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Sekei, kata ya Kiutu.
KAULI MBIU:
" Tuimarishe Ulinzi kwa Mtoto; Tokomeza Ukatili Dhidi yake: Jiandae Kuhesabiwa"
NYOTE MNAKARIBISHWA!!✍✍
ARUSHA DC
KaziInaendelea
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.