Friday 9th, May 2025
@MTO NGARENARO
Halmashauri ya Arusha inatarajia kuungana na Mataifa yote Duniani Kuadhimisha Siku ya Usafishaji wa Mazingira Diniani Mwaka 2022, yatakayofanyika tarehe 17.09.2022
katika maadhimisho hayo Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi atawaongoza wananchi wa Kata ya Kiranyi kusafisha Mto NGARENARO kuanzia maeneo ya Shule ya Msingi Ilkiurei.
Muda ni kuanza ni saa 12:30 - 10:00 asubuhi.
Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki siku hiyo muhimu kwa ajili ya utunzaji wa vyanzo vyetu vya maji.
Ewe Mwananchi USIPANGE KUKOSA
Kauli Mbiu: "Ondoa Takataka na Taka zisizodhibitiwa kutoka kwenye Vyanzo vya Maji"
ARUSHA DC TUPO KAZINI ✍✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.