Saturday 25th, January 2025
@ARUSHA DC
KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA ARUSHA
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda anawatangazia wananchi wote kujokeza kwa wingi kushiriki kwenye Mapokezi ya Mwengewa Uhuru 2023.
Amesema kuwa Mwenge wa Uhuru 2023 utawasili katika wilaya ya Arumeru tarehe 28 Juni 2023 na kupokelewa kwenye eneo la soko la Oldonyosambu kaa ya Oldonyowas halmashauri ya Arusha.
Aidha Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa Kilomita 88.4 na kukagua jumla ya miradi 8 yenye thamani ya shilingi Bilioni 8.5.
Mwenge wa Uhuru utakesha kwenye Viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya halmashauri ya Arusha eneo la Sekei.
KAULI MBIU: " TUNZA MAZINGIRA, OKOA VYANZO VYA MAJI KWA USTAWI WA VIUMBE HAI KWA UCHUMI WA TAIFA"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.