Friday 9th, May 2025
@ARUSHA DC
Afisa Mwandikishaji, Jimbo la Arumeru Magharibi, anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kata zote za Halmashauri ya Arusha litaanza hivi karibuni.
Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa wananchi kuanzia leo tarehe 02.07.2019 mpaja tarehe 09.07.2019.
Maombi yatumwe kwa:-
AFISA MWANDIKISHAJI,
JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI,
S.L.P 2330,
ARUSHA.
Sifa za mwombaji ziko kwenye barua hapo chini..
Fungua picha
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.