Ili kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma za matibabu kwa urahisi, Serikali kupitia Idara ya Afya imeanzisha Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ambao mwananchi atachangia kiasi cha shilingi elfu kumi kwa kaya mbayo kaya hiyo itatibiwa kwa mwaka mzima.
kupata huduma ya CHF kaya inatakiwa kufanya yafuatyo:
1. Kuwa na Shilingi elfu (10,000/=)
2. Picha ndogo za passport size za wanakaya
3. Kujaza fomu ya Kuduma ya Afya ya Jamii (CHF)
4. Kadi ya CHF itahudumia watu sita wa kaya moja ikiwemo mkuu wa kaya mume/mke na wategemezi wanne.
5. Kadi za CHF zinztolewa katika Hospitali ya wilaya ya Oltrumet, Zahanati na Vituo vyot vya Afya ndani ya Hamashauri.
6. Baada ya kulipia hakikisha unachukua kadi yako ya CHF na hakikisha unaitunza
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.