KILA LA KHERI KIDATO CHA SITA 2023
"Jumla ya wanafunzi 851 wanatarajia kuanza mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha Sita unaoanza leo 02.05. 2023 kwenye shule 10 za sekondari za serikali na binafsi huku watahiniwa 8 wakifanya mtihani wa Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada kwenye vyuo viwili vya Ualimu,
halmashauri ya Arusha" Mkuu wa Idara ya Elimu sekondari, Mwl. Menard Lupenza.
MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIE
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.