• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

Posted on: May 9th, 2025

AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA.


Kuelekea awamu ya pili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na kuweka wazi daftari la awali,leo

May 08,2025 Afisa mwandikishaji Jimbo la Arumeru Magharibi Ndg.Seleman Msumi, amekutana na viongozi wa vyama vya siasa katika  kikao kilicholenga kuwapa taarifa muhimu kuhusu awamu ya pili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

Msumi alitumia fursa hiyo kuwahimiza viongozi hao kuandaa mawakala ambao watashiriki kusimamia zoezi hilo katika vituo kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).


Aidha kuwahamasisha wananchi wote wanaoguswa na zoezi hilo kujitokeza ili waweze kupata fursa yakushiriki Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Vyama vya siasa ni wadau muhimu katika mchakato mzima wa uchaguzi  unaohusisha uandikishaji wa wapiga kura wapya pamoja na uboreshaji wa taarifa za awali katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Awamu ya pili ya uboreshaji Jimbo la Arumeru Magharibi itafanyika kwa siku saba kuanzia Mei 16 - 22 ,2025 kwenye vituo 42 vilivyoanishwa kwenye kata zote 27 za Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

"Kujiandikisha kuwa mpiga kura ni msingi wa uchaguzi bora".

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.