• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

AJIRA ZAIDI YA ELFU 20 KUTOLEWA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: September 16th, 2023

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi yake imapata kibali na katika kipindi cha mwaka huu wa Fedha itatangaza ajira zaidi ya elf ishirini kwenye Kada ya Ualimu na Afya.


Waziri Mchengerwa ameyasema hayo Wilayani Newala wakati alitoa salamu za Wizara  yake  kwenye mkutano  wa hadhara uliofanyika wilayani hapo leo tarehe 16.09.2023.


Amesema Mhe. Rais kupitia Ofisi yangu tuliomba Kibali cha ajira kupitia Ofisi ya Rais - Utumishi na wewe mwenyewe ukaridhia kuwa katika mwaka huu wa fedha tuajiri watumishi  20,600 ambao wana upungufu zaidi kwenye Halmashauri.


‘Kila Halmashauri tunayopita ombi kubwa limekua ni Watumishi wa Elimu na Afya  na kukujali hiyo ulishatupa Kibali cha kuajiri hivyo wakati wowote ndani ya mwaka huu wa Fedha tutatangaza Ajira hizo na tutaleta watumishi kwenye Halmashauro hii ya Newala’ alisema Mchengerwa.


Kupitia Ajira hizi  Halmashauri zote zitapata watumishi kwenye maeneo hayo na kwa hapa Newala tutawapatia watumishi 130 wa Kada za Elimu na Afya’ alisisitiza.


Akizungumzia Wilaya ya Newama amesema  Serikali kupitia TARURA itaongeza mtandao wa barabara ya Lami yenye urefu wa Km 6 ambapo Newala Mji watapata Km 3 na vijijini watapata km 2.85; Aidha Taa za barabarani zitaongezwa Taa 48 ambazo zitasaidia kupendeza mji na kuongeza ulinzi.


Kama tunavyofahamu kuwa hii ni Wilaya Kongwe na hata hospitali ya Wilaya iliyopo ina uchakavu mkubwa hivyo tumeleta Shilingi Million 900 lwa ajili ya kufanya ukarabati wa hospitali hiyo kongwe’ alisema Mje. Mchengerwa.


Mhe. Rais Skt. Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi  na meo ametemebelea Halmashauri ya Mtwara Dc, Nanyamba Mji, Tandahimba, Newala na Masasi.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.