• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC YAANZA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA AFYA MATEVES

Posted on: April 13th, 2022

Halmashauri ya Arusha, imeanza rasmi kutekeleza kwa vitendo mradi wa ujenzi wa kituo kipya cha afya Matevesi, kufuatia maagizo yaliyotolewa na serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kwa halmasahuri zote nchini kutumia mapato ya ndani kujenga kituo cha afya.

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amesema kuwa, halmashauri yake, imeanza rasmi ujenzi wa kituo kipya cha afya katika kata ya Matevesi, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mheshimiwa Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, maagizo yaliyoelekeza kila halmasahuri kutumia shilingi milioni 500 ya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2021/2022, kujenga kituo cha afya kwa kata ambazo hazina vituo vya afya.

Mkurugenzi Msumi, ameweka wazi kuwa, halmashauri imeanza kutekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa ujenzi wa kituo hicho cha afya Mateves, kwa kujenga jengo la  wagonjwa wa nje (POD), mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni 310.

Naye Afisa Mipango, halmashauri ya Arusha,Anna Urio, amefafanua kuwa, kukamilika kwa mradi huo wa ujenzi wa kituo cha afya Mateves, utagharimu kiasi cha shilingi milioni 500, ambapo kwa wamu ya kwanza umeanza ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje.

Katika mwaka wa fedha 2021/2022, halmashauri ya Arusha imefanikisha ujenzi wa vituo vitatu vya afya, ikiwemo kituo kipya cha Afya cha Mwandet, kinachojenhwa kwa fedha kutoka serikali kuu, huku vituo viwili vikijengwa kwa mapato ya ndani, kituo kipya cha afya cha Oloirieni na kituo kipya Mateves vyote vikijengwa kwa fedha za mapato ya ndani.

ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍



Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo kipya cha Afya Mateves, mradi unaotekelezwa kwa fedha za mapatao ya ndani  ya halmashaurinhiyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.