• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC YAZIBWAGA HALMASHAURI 20 MASHINDANO YA KILIMO NA MIFUGO NANENANE 2020.

Posted on: August 9th, 2020

    Halmashauri ya Arusha wilaya ya Arumeru imeibuka kidedea na kuwa mshindi wa kwanza kwenye sekta ya Kilimo na Mifungo, katika maonesho ya Wakulima Nanenane, Kanda ya Kaskazini kwa kufanikiwa kuzibwaga halmashauri 20 za mikoa mitatu ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

   Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amekabidhi MAKOMBE MAWILI kwa halmashauri ya Arusha wakati akihitimisha  maonesho ya Wakulima 2020, Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika kwenye viwanja vya Themi Jijini Arusha.

    Halmashauri hiyo imefanikiwa kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya Mazao na Mshindi wa kwanza pia kwenye mashindano ya Mifugo na kufanikiwa kupata Makombe mawili ya Mazao na Mifugo.

      Hata hivyo watalamu wa halmashauri hiyo, wameweka wazi kuwa, siri kubwa ya ushindi ni ushirikiano mkubwa wa timu ya menejimenti ya halmashauri hiyo, ikiongozwa na mkurugenzi mtendaji, kazi kubwa inayofanywa na watalamu wa kilimo na mifugo kwa kuhamishia ofisi shambani waliko wakulima na sio kukaa ofisini peke.

    Hongera sana Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Saad Mtambule, hongera sana Watalamu wa Kilimo na Mifugo, hongera sana Menejimenti na watalamu wote sambamba na timu ya ushindi ya Halmashauri ya Arusha, hongera nyingi sana kwa  Wakulima na Wafugaji wote wa halmashauri ya Arusha, hongera nyingi mnoo kwa wananachi wote wa halmashauri ya Arusha.

                             Team work spirit is our core value....




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.