• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA ZOTE 27

Posted on: May 8th, 2025

Baraza la madiwani Halmashauri ya Arusha wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ndani ya katika Kata zote 27 pongezi zilizotolewa kupitia kikao cha robo mwaka kwa mwaka wa fedha 2024/2025.


Akiongea katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Arusha Dkt.Ojungu Salekwa alisema kuwa kazi kubwa ya Halmashauri ni kuhakikisha inatekeleza mahitaji muhimu kwa wanawanchi.

"Kwakweli niseme kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto za hapa na pale na hasa katika kipindi hiki Cha mvua lakini Halmashauri yetu kupitia ofisi ya mkurugenzi imejitahidi kufanikisha kwa kiasi kikubwa baadhi ya miradi kwenye kata zetu" Alisema Dkt.Ojungu.

Aidha Dkt Ojungu aliongeza kuwa hoja kubwa iliyoibuliwa kwenye Baraza ni hoja ya miundombinu ya Barabara ambayo imeonekana kuwa kero kwenye baadhi ya Kata katika Halmashauri, hivyo Halmashauri imekusudia kuanza kupanga fedha kwa kushirikiana na TARURA Ili kuweza kukarabati baadhi ya miundombinu ambayo imebainika kuwa hatalishi kwa wananchi.

Kwa upande wake diwani wa kata ya Oltroto ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii Elimu,Afya na maji pamoja na miundombinu,Mhe. Baraka Simon alisema kuwa Baraza limeelekeza mambo muhimu hasa ya utatuzi wa changamoto ikiwemo ujenzi wa madarasa, na barabara kwenye kata hasa kwenye kipindi hiki cha mvua na kwahiyo million 40.5 zitatolewa na Halmashauri kwa ajili ya utatuzi wa changamoto hiyo.

Sambamba na Hilo mhe.Baraka ameipongeza ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ndugu Suleiman Msumi kwa kuweza kufikia malengo ya makadirio ya makusanyo ya mapato ndani ya Halmashauri kiasia cha bilioni 6.9 na kuweza kukusanya kiasi cha bilioni 5.01 hadi kufikia kipindi cha robo tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025.

Naye Mkurugenzi Halmashauri ya Arusha Ndugu Suleiman Msumi amewashukuru wajumbe wa Baraza la madiwani kwa kuonyesha ushirikiano wao kipindi chote Cha uongozi wake tangia ateuliwe kuiongoza Halmashauri hiyo.

"Kwakweli kwa heshima ya pekee nitoe shukrani zangu kwenu nyote kwa jinsi mlivyo onyesha ushirikiano wenu kwangu na kwa wataalam wangu, mafanikio ambayo tumeendelea kuyapata Halmashauri ya wilaya ya Arusha yametokana na utayari wenu wa kujitoa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.