Katika kubiresha Mazingira ya Kufanya Biashara, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, JERRY MURO, amepanga kukutana na WAFANYA BIASHARA WA HALMASHAURI YA ARUSHA, TAREHE 21.06.2019 kuanzia saa 04:00 asubuhi, kwenye Ukumbi wa Mikutano, Halmashauri ya Arusha.
LENGO IKIWA NI KUBAINI KERO ZINAZOWAKABILI WAFANYABIASHARA NA ULIPAJI WA KODI.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.