Halmashauri ya Arusha inategemea kufanya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2023 siku ya tarehe 15 Juni, 2023 kwenye viwanja vya shule ya Msingi cha Loovilukuny kata ya kisongo.
Mgeni Rasmi atakuwa ni Kuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda Mtatifikolo
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.