Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatakia kila la Kheri wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha 6 unaoanza leo tarehe 02. 05.2023.
"Mtihani huo ni upimaji wa ujuzi na maarifa waliofundishwa kwa muda wa miaka miwili, upimaji unaokwenda kutoa taswira na mwelekeo wa wanafunzi kuelekea kuzifikia ndoto zao, ninawatakia watahiniwa wote, kila lenye kheri katika safari yao ya kitaaluma". Amesema Mkurugenzi Msumi
MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIE
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.