• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED ARUSHA DC AKABIDHI MADARASA 38 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 760.

Posted on: December 22nd, 2022

Na Elinipa Lupembe


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wausha, Seleman Msumi amekabidhi vyumba 38 vya madarasa kwa mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhandisi Richard Ruyango baada ya kukamilika mradi huo uliotekelezwa kwenye shule 18 za sekondari za halmashauri hiyo.


Akizungumza wakati akisoma taarifa ya mradi huo, Mkurugenzi Msumi amesema kuwa Halmashauri ilipokea shilingi milioni 760 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 38, ikiwa ni maalum kwa maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka wa masomo unaonza Januari 2023.


Mkurugenzi Msumi amesema kuwa kiasi hicho cha fedha  licha ya kutumika kujenga vyumba hivyo 38 vya madarasa, kimetumika pia kununua samani za madarasa ikiwemo viti na meza 50 kwa kila darasa pamoja na ofisi 7 za walimu kwenye shule 6 kati ya shule hizo 18.


Hata hivyo Mkurugenzi huyo amebainisha kuwa jumla ya 7,857 sawa na asilimia 100 ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2022, wamechaguliwa na kupangiwa kwenye shule za sekondari za serikali mwaka 2023 katika halmashauri hiyo.


"Halmashauri ya Arusha tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia kwa madarasa hayo ambayo yanakwenda  kutatua changamoto ya msongamano wa wanafunzi darasani lakini pia imewaondolea kero wanachi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa kama ilivyokuwa kawaida huko nyuma". Amesema Msumi


Aidha Mkurugenzi Msumi amefafanua kuwa mwaka 2021 halmashauri ilipokea kiasi cha shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 100 vya madarasa , ikiwa madarasa 96 kwa shule za sekondari na madara 4 kwa shule mbili za msingi  shikizi, madara ambayo yaliwezesha wanafunzi kujifunza katika mazingira bora zaidi na kupandisha kiwango cha taaluma kwenye shule nyingi.


Awali Mkurugenzi Msumi ameahidi kushirikiana na wazazi na walezi kuhakikisha wanzafunzi wote waliopangiwa kuendelea na masomo ya sekondari wanaripoti shuleni ifikapo tarehe 09.01.2023.


Ifahamike kuwa ujenzi wa vyumba vya madarasa ni utelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 79 kifungu (q) Kukarabati miundombinu ya kufundishia na kujifunzia katika shule za Msingi na Sekondari nchini.


ARUSHA DC

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.