Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amemkabidhi Mwenge wa Uhuru 2023 mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Meru Mwl, Zainabu Makwinya mapema eneo la Ambureni maa baada ya kukamilisha mbio zake kika halmashaui aAusha
Ukiwa katika halmashauri ya Arusha Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Ndugu Abdalla Shahib Shakim ataukimbizwa umbali wa Km 88.4 na kukagua miradi 8 yenye thamani ya shilingi bilioni 8.5 katika sekta ya maji, elimu, afya, miundombinu ya barabara pamoja na vikundi vya wajasiriamali, uwekezaji, utunzaji wa mazingia hususani kika vyanzo vya maji.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.