Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Arusha Bw. Seleman Msumi (Kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Nurdi Babu na Viongozi wengine walioshiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025, kutoka Mkoa wa Kilimanjaro na kuukaribisha mkoa wa Arusha leo Julai 05, 2025 katika kijiji cha Malula eneo la king’ori Kibaoni wilaya ya Arumeru.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.