Mtaalam wa Masuala ya Lishe Halmashauri ya Arusha bwana,Petro Mfinanga akitoa mada kuhusu umuhimu wa Lishe bora kwa jamii wakati mafunzo ya makundi maaalum toka Kata 10 kati ya Kata 27 za Halmashauri ya Arusha yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo.
Mafunzo hayo yalijikita katika kujua umuhimu wa Lishe bora, makundi sita ya chakula pamoja na namna ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza ambayo kwa miaka ya hivi karibuni yameongeza kwa kasi kutokana na mtindo wa maisha ikiwemo aina ya vyakula vinavyotumiwa na jamii pamoja na kutofanya mazoezi ya mara kwa mara.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.