Tarehe 21-22 Agosti 2022 Karani wa Sensa akiongozwa na kiongozi wa eneo husika atafika kwenye eneo alilopangiwa kujitambulisha na kutambua mipaka ya eneo lake.
Viongozi wa Vitongoji na Mitaa watahusika kujibu maswali ya Dodoso la Jamii kwa kuwa wana uelewa wa kutosha wa eneo hilo pamoja na huduma zinazopatikana
Sisi MADIWANI TUPO TAYARI KUHESABIWA
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.