SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 ITAFANYIKA VIPI?
Na Elinipa Lupembe
Siku ya Sensa, Karani wa Sensa akiongozana na Mwenyekiti au Kiongozi wa Serikali ya Mtaa au Kitongoji/Shehia atafika katika kaya akiwa na kitambulisho cha Karani wa Sensa na dodoso la Sensa liliowekwa katika kifaa cha kielektroniki kiitwacho kishikwambi (tablet) na kuuliza maswali ambayo yatajibiwa na Mkuu wa Kaya.
Ikiwa Mkuu wa Kaya atakuwa hayupo, mtu mwingine yoyote mzima katika kaya ambaye ana taarifa za kutosha kuhusiana na kaya na watu wote waliolala katika kaya usiku wa kuamkia siku ya Sensa anaweza kujibu maswali ya Sensa kwa niaba yake..
NIPO TAYARI KUHESABIWA
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI
JIANDAE KUHESABIWA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.