• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Arusha yaelekea kwenye siku ya upandaji miti kitaifa kwa kuvuka malengo kwa asilimia 150%

Posted on: March 26th, 2018

Katika kuelekea siku ya upandaji miti kitaifa, halmashauri ya Arusha ya Arusha inaadhimisha siku hiyo ikiwa na mafanikio makubwa ya upandaji miti kwa kuvuka malengo kwa mwaka uliopita wa 2017.

Halmashauri imefanikiwa kupanda idadi kubwa ya miti, ukilinganisha na malengo ya kitaifa ya kila halmashauri kupanda miti 1,500,000 kwa mwaka.

Afisa Misitu, halmashauri ya Arusha, Joseph Masawe, amesema kuwa halmashauri imepata mafanikio makubwa katika upandaji miti kwa mwaka 2017, baada ya kupanda miti milioni 2.3 kutoka malengo ya kupanda miti 1,500, 000, sawa na asilimia 158% na ongezeko la asilimia 58%

Hata hivyo Afisa Misitu huyo amethibitisha kuwa, mafanikio hayo yanahamasisha kuendelea kupanda miti mingi zaidi kwa mwaka huu wa 2018 kuliko mwaka uliopita wa 2017, kwa kujikita zaidi kwenye maeneo ya kanda kame.

Masawe ameongeza kuwa mafanikio hayo yamefikiwa baada halmashauri kuwa na kitalu cha miche ya miti, chenye uwezo wa kuotesha miche elfu 50 kwa wakati mmoja na kinatumika kama shamba darasa kwa wakukima wa miti.

Amefafanua kuwa ndani ya kitalu hicho, kunaoteshwa miche ya aina tofauti, zaidi kwa kutegemea hali ya hewa ya maeneo ya halmashauri.

"Ipo miti inayostahimili ukame kwa maeneo ya kanda kame, miti ya maeneo ya vyanzo na kingo za maji inayotunza maji, miti ya nyanda za juu zisizo kame hupandwa miti ya mbao" amesema Masawe.

Hata hivyo kupitia kitalu hicho halmashauri inatoa miche ya miti bure, kwenye vijiji vyote, taasisi za serikali na binafsi, pamoja na kwa watu binafsi, wanafika halmashauri na kuchukua aina ya miche wanayohitaji.

Pawasa Loishiye mkazi wa kijiji cha Olgilai, alikutwa na mwandishi akichukua miche ya miti kwenye kitalu cha halmashauri amesema kuwa, huduma hiyo inawahamasisha kuotesha miti mara kwa mara kwenye maeneo yao.

Loishiye ameonesha kufurahishwa na kuridhishwa na huduma inayotolewa na halmashauri, kwa kuwa katika vitalu vingine hulazimika kununua mche kwa gharama ya shilingi mia mbili mpaka mia tatu kwa mche, jambo ambalo huwapunguzia gharama hizo kwa kuchukua miche bure,

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.