• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMSHAURI ZINAZOKUSANYA MAPATO KUANZIA BILIONI 5 ZAELEKEZWA KUTENGA 10% KUBORESHA MIUNDO MBINU YA BARABARA ZA NDANI....

Posted on: September 22nd, 2022

OR-TAMISEMI


Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za  Mikoa  na Serikali  za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Innocent Bashungwa amewaelekeza  Wakurugenzi wa Halmshauri, zinazokusanya mapato ya  Ndani kuanzia shilingi bilioni 5 kwa mwaka,kuhakikisha wanatoa  asilimia 10 kati ya  asilimia 60, inayotengwakutekekeleza miradi ya maendeleo kwa ajili ya kuboresha miumdombinu ya Barabara lami za Mitaa.


Bashungwa, ametoa maelekezo  hayo akiwa Bungeni Jijini, Dodoma wakati akijibu swali la mhe,Jerry Silaa Mbunge Ukonga, kuhusu nini kauli ya Serekali juu ya kutenga fedha za mapato ya ndani kwa ajili ya kujenga barabara za lami mitaani katika mkoa wa wa Dar es Salaam.


"Nimeshatoa maelekezo kwa Halmshauri, ambazo zinatenga asilimia 60 ya mapato ya ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo kuhakikisha, wanatoa asilimia 10 kwa ajili ya kutengenezaa Barabara za Mitaa ikiwemo mkoa wa Dar es salaam"


Bashungwa,amezitaka Halmshauri hizo kushirikiana na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) kuweka mpango mkakati wa pamoja kuhakikisha asilimia 10 inayotengwa, inatengeneza barabara ambazo zitaendana na uhalisia wa matumizi ya fedha.


Aidha Bashungwa amesema Serekali inaendelea,kufanya mazungumzo na Benki ya Dunia juu ya mkopo wa Miundo mbinu Katika jiji la Dar es salaam awamu ya pili (DMDP).






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.