• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Hatimaye, jengo la ghorofa shule ya sekondari Ilkiding'a laanza kujengwa baada ya kusimama kwa miaka mingi

Posted on: May 4th, 2018

Hatimaye uendelezwaji wa ujenzi wa jengo la ghorofa moja, lenye vyumba sita vya madarasa shule ya sekondari Ilkiding'a umeanza baada ya ujenzi huo kusimama kwa muda mrefu.

Ingawa ujenzi wa jengo hilo ulianza rasmi miaka ya 2004  na kusimama kwa muda mrefu, Serikali ya awamua ya tano,  kupitia kampeni ya TUNATEKELEZA imeweza kufanikisha uendelezwaji wa jengo hilo kupitia vyanzo mbalimbali vya fedha.

Akisoma historia ya jengo hilo, mkuu wa shule ya sekondari Ilkiding'a, mwalimu Ivan Mmari, amesema kuwa,  jengo hilo lilianza kujengwa mwaka 2004 na kuachwa kwa muda, mwaka wa fedha 2016/17 ujenzi umeanza baada ya halmashauri kutoa fedha kiasi cha shilingi milioni 40 kwa awamu mbili.

Mkuu huyo wa shule amefafanua kuwa, mpaka sasa vyumba vitatu vya sakafu ya chini vimekamilika kwa zaidi ya asilimia 70, na kuongeza kuwa ukamilishaji jengo hilo la ghorofa unahitaji  jumla ya shilingi milioni 243.

Hata hivyo Mwalimu Mmari, ameendelea kueleza kuwa, kwa awamu ya kwanza, vyumba vitatu vya madarasa vitakamilika na kukamilika kwa vyumba hivyo kutapunguza  msongamano mkubwa wa wanafunzi madarasani,  unaikabili shule hiyo kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo.

Diwani wa kata ya Ilkiding'a mheshimiwa Loth Mungaya amesema kuwa, katika ujenzi unaoendelea sasa, wananchi wa Ilkiding'a wamechangia shilingi milioni 4.1, fedha ambazo zinatumika kulipia gharama za ufundi.

Diwani huyo, amesisitiza kuwa wananchi wa Ilkiding'a wamekuwa wakijitoa kwa hali na mali, kuchangia maendeleo ya shule hiyo,  kwa kutambua kuwa shule ni mali yao na kuhakikisha watoto wao wasome katika mazingira bora yenye ushawishi wa kujifunza.

Hata hivyo halmashauri imepanga kutoa milioni 60 kwa mwaka huu wa fedha, na kuendelea kuweka kwenye bajeti kwa miaka ijayo ya fefha, mpaka sasa halmashauri imeshatoa shilingi milioni 40, ikiwa milioni 20 ni fedha za programu ya Lipa Kutokana na Matokeo 'P4R'.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.