Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amehitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 sambamba na kuazimisha miaka 18 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani Zanzibar.
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 zilianza April 2, 2017 katika mkoa wa Katavi ukiwa na Kauli mbiu ya Shiriki Kukuza Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo ya nchi yetu na kukimbizwa mikoa yote 31 ya Tanzania bara na Visiwani na umezimwa katika mkoa wa Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.