• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Huduma za uchunguzi wa magonjwa zaidi 10 kutolewa siku nne, kuelekea kilele cha cha siku ya Wauguzi Dunia tarehe 12.05.2018

Posted on: May 8th, 2018

Wauguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha wanategemea kufanya maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani itakayofanyika tarehe 12.05.2018 kwenye viwanja vya Kituo cha Afya Nduruma.  

Akizungumza na mwandishi wetu, Muuguzi Mkuu halmashauti ya Arusha, Sista Agusta Komba amesema kuwa maadhimisho hayo yatatanguliwa na shughuli za utoaji huduma za afya  18 zitatolewa bure kwa muda wa siku nne kuanzia tarehe 09.05.28 mpaka siku ya kilele ya tarehe 12.05.2018.

Ameomgeza kuwa kati ya hizo huduma zaidi ya kumi zitahusisha upimaji wa magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa Saratani shingo ya mlango wa kizazi kwa wanawake, magonjwa ya  akili, macho, sukari na shinikizo la damu, Fistula, VVU, kifua kikuu, lishe pamoja na kutoa tiba na ushauri nasaha.

Hata hivyo Sista Komba, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye kituo cha Afya Nduruma ili kupata huduma hizo, ambazo zinatolewa bure na kuongeza kuwa kwa siku zote nne watoa huduma watakuwepo kuanzia asubuhi mpaka saa 17:00 jioni.

Niwaombe wananchi wa kata za Bwawani, Mlangarini na Nduruma yenyewe kutumia fursa hii, ambayo ni adimu kwao kutokana na mazingira hali halisi ya upatikanaji wa huduma hii kwenye maeneo hayo".  Amesisitiza Sista Komba 

 


 Kwa siku hizo huduma zitatolewa kuanzia saa 02:00 asubuhi mpaka saa 12:00jioni.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:-

 1. Uchunguzi wa Saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake.

2.Utoaji wa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 14. 3. Upimaji wa Sukari na shinikizo la damu. 4. Upimaji wa VVU

 5. Uchunguzi wa Fistula

 6. Uchunguzi wa Kifua Kikuu TB.

7. Uchunguzi wa afya ya akili.

8. Uchunguzi wa macho

9. UChunguzi wa lishe

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    December 22, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA BW. SELEMAN MSUMI AWASHONEA SARE MADEREVA WA HALMASHAURI HIYO

    October 02, 2025
  • WIZARA YA KILIMO KUPITIA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO (COPRA) YAZINDUA RASMI MSIMU WA UNUNUZI WA ZAO LA PARACHICHI KWA MWAKA 2025/2026

    September 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MWINYI AHMED MWINYI AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)

    September 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • yamitoto
  • koi200
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • slot gacor
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • situs toto
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77