Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wametembelea na kukagua, mradi wa umaliiziaji ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa na Ofisi ya walimu shule ya Msingi Shibolo kata ya Sambasha.
Mradi huo umetekelezwa kwa nguvu ya wananchi huku halmashauri ya Arusha ikiachangia kiasi cha shilingi milioni 20 kwa ajili ya umaliaziji wa shule hiyo mpya ambapo mpaka sasa halmashauri imeishatoa ya shilingi milioni 10 fedha za mapato ya ndani.
ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.