Wajumbe wa Kamati ya maji kijiji cha Olkokola kata ya Lemanyata wamekubaliana kuingia kwenye Mamlaka ya Maji Ngaramtoni NGAUWSA baada ya kupata mafunzo mafupi juu ya utekelezaji na usimamizi wa mradi wa maji wa vijiji vitano maarufu kama mradi wa maji wa WaterAid yaliyofanyika kwenye shule ya msingi Lemanyata.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.