Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Baraka Mesiaki Diwani wa Kata ya Olturoto ikiwa katika ziara ya kukagua mitambo (Lori) ya Halmashauri ya Arusha ambayo inafanyiwa matengenezo katika gereji ya Sunny Autoworks eneo la Mbauda.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.