• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KARIBU MWENGE MAALUM WA UHURU 2021 WILAYA YA ARUMERU 19.06.2021

Posted on: June 17th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Jerry Muro, anawatangazia wananchi wote kushiriki katika Mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru 2021 katika wilaya ya Arumeru.

Mwenge wa UHURU 2021 utawasili katika Wilaya ya Arumeru siku ya Jumamosi, tarehe 19.06.202, katika eneo la Mlangarini kwa Robert na kukimbizwa umbali wa Kilomita 126.3,  katika halmashauri mbili za Arusha na Meru, na kupitia kwenye miradi tisa (9),  yenye thamani ya shilingi Bilioni 2.3 katika sekta ya Afya, Elimu, Maji, Barabara na Uwekezaji.

MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE MAALUM WA UHURU 2021 NI PAMOJA NA:- 

1.MRADI wa TEHAMA SHULE YA SEKONDARI MLANGARINI.2

2.MRADI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA KIKWE.

3. MRADI WA  BARABARA SANGISI - NAMBALA KATA YA ALHERI

4 MRADI UJENZI WA  KITUO CHA MAFUTA -OLOIRIENI

5. MRADI WA KUSUKUMA MAJI LOSIKITO

6. MRADI WA SHAMBA LA MIGOMBA NA TUMBAKU OLTURUMET

7  MRADI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA WILAYA OLTURUMET

8. MRADI WA MIUNDOMBINU YA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM SHULE YA MSINGI  ILBORU

9. MRADI WA KIKUNDI CHA VIJANA – UMOJA YOUTH GROUP MOIVO.

MWENGE WA UHURU 2021 UTAKESHA KATIKA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA ARUSHA ENEO LA SEKEI.

NYOTE MNAKARIBISHWA✍✍✍

Kauli  Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2021 “TEHAMA ni Msingi wa Taifa endelevu; itumie kwa usahihi na Uwajibikaji”.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.