Katibu Tawala Mkoa wa Arusha,Bwana Missaile Musa akiongoza kikao kazi cha mwaka cha tathmini ya utekelezaji wa mfumo wa huduma ya M - mama mkoa wa Arusha kilichofanyika kwenye hoteli ya Corridor Spring Jijini Arusha mapema leo Julai 30, 2024. Kikao hicho kimeshirikisha Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Mkoa wa Arusha na Wataalam toka Mkoa na Halmshauri pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.