• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kaya masikini zaendelea kunufaika na miradi ya kujikwamua kiuchumi inayotekelezwa na TASAF III

Posted on: April 27th, 2018

Katika kuendelea kuzikwamua kaya masikini hapa nchini, Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF, imeendelea kuwajengea uwezo wa kiuchumi wananchi walio kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini, kupitia mradi wa OPEC III.

Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kupitia mradi kupitia mradi huo wa OPEC III umegawa kuku 750 kwa kaya masikini 75  mradi wenye thamani ya shilingi milioni 37 kwenye kijiji cha Oldonyowas kata ya Oldonyowas.

Akizungumza wakati wa zoezi la kuwakabidhi kuku hao, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera amezitaka kaya hizo kutunza mradi huo wa kuku ili uweze kuwakwamua kiuchumi, kwa manufaa yao na jamii kwa ujumla.

Aidha amewataka wananchi hao, kuwatumia watalamu wa mifugo walio kwenye kata yao, kupata maekekezo ya kufuga kitalamu na kisasa na kuwasisitiza watalamu wa mifugo kuhakikisha wanawasimamia wafugaji hao ili mradi huo uweze kuwa endelevu.

Naye Kaimu Mratibu wa TASAF , Grace Makema amesema kuwa, mradi huo umegawa kuku 750  kwa kaya masikini 75 kwa mgao wa kuku 10 kila kaya, mradi ambao umeibuliwa na wanakaya wenyewe.

Ameongeza kuwa wanakaya hao kabla ya kuibua miradi huo walipatiwa mafunzo ya ujasiriamali, na baada ya kuibua miradi yao wamepatiwa pia mafunzo ya namna ya kuendeleza mradi huo na tayari mtalamu wa mifugo yuko karibu nao kwa ajili ya kuwaelekeza namna bora ya ufugaji wa kuku.

Naye Diwani wa kata ya Oldonyowasi, mhe. Elisante Nasari amekiri kuwa, mradi wa TASAF unawawezesha wananchi wake kujikwamua kutoka kwenye lindi la umasikini waliokuwa nao hapo awali.    

" Mradi wa TASAF umewasaidi wananchi wangu, kujikwamua kiuchumi, kwa sasa angalau wengi wao wameanza kujitegemea na kujikimu na hali ya maisha ukilinganisha na kabla ya mpango huu kuwepo" amesema mheshimiwa Diwani.  

Nao wanufaika wa mradi huo, hawakuwa nyuma kuishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwajali wao na kutambua umuhimu kuwakwamua kiuchumi na kuahidi kuiendezela miradi hiyo ili waondokane kabisa na umasikini waliokuwa nao.

Anande Pinisi mmoja wa wanufaika hao licha ya kuishukuru serikali amepanga kuendeleza mradi huo wa kuku na baada ya muda kuanzisha mradi wa mbuzi ambao anaamini utamtoa kwenye umasikini aliokuwa nao.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.