Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,Bwana Seleman Msumi leo tarehe 01/02/2024 ameongoza Kikao cha Kamati ya Lishe Wilaya na kuwataka Wadau wote kwa kushirikiana na Serikali kuongeza wigo wa kutoa huduma ya chakula cha mchana kwa shule zote ndani ya Halmashauri hiyo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.