Afisa Tarafa ya Moshono Arusha DC ,Bwana Domic Njunwa kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru amewataka Wajumbe wa Kikao cha tathmini ya masuala ya Lishe kwa kipindi cha robo ya 3 ya mwaka wa fedha 2023/2024 kuendelea kuhakikisha wanasimamia ipasavyo suala la lishe katika jamii kwani msingi bora wa makuzi ya mtoto yanaanzia katika kumpatia mama mjamzito na mtoto mlo kamili kwa kuzingatia mafunzo ya wataalam wa afya.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.