Mwenyekiti wa Kamati ya Ukimwi Halmashauri ya Arusha,Mhe.Fredy Lukumay (Diwani Kata ya Matevez) akiwaongoza wajumbe wa kikao hicho cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025 kujadili mikakati ya kudhibiti ukimwi. Ajenda kuu ilikuwa ni kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mapambano dhidi ya ukimwi na vvu pamoja kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za janga hilo ndani ya Halmsahauri hiyo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.