• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KUFIKIA KILIMO BIASHARA WATOTO WAANDALIWE KUWA WAFUGAJI

Posted on: August 7th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Jamii imetakiwa kuwaandaa watoto kuwa wajasiriamali wafugaji kwa kuwaanzishia ufugaji mdogo wa sungura nyumbani ikiwa ni mkakati wa kufikia Ajenda ya10 -30 ya Kilimo Biashara.

Sungura anauwezo wa kuongeza mnyororo wa thamani, kwa mfugaji mbali na nyama na mbolea, mkojo wa sungura huuzwa kwa ajili ya dawa ya kuulia wadudu kwenye mboga mboga na matunda.

Rai hiyo imetolewa na Daktari wa Mifugo halmashauri ya Arusha Dkt. Yohana Kiwone, wakati akielezea mkakati wa kufikia Ajenda ya 10 - 30 ya Kilimo biashara, kwenye maonyesho ya kilimo Nanenane Kanda ya Kaskazini, yanayofanyika kwenye viwanja vya Themi - Njiro jijini Arusha.

Dkt. Kiwone amefafanua kuwa ili kuwa na jamii ya wafugaji wajasiriamali, wanaoendana na mabadiliko ya Sayansi na teknolojia, ni vema kuwaandaa watoto kwa kuwafundisha ufugaji wa sungura tangu wakiwa wadogo na baadaye kuendelea kuwa wafugaji wakubwa katika maisha yao ya utu uzima.

Amesema tafiti zinaonyesha watoto wengi hasa wa kiume wanapenda  sungura, wazazi na walezi tumieni fursa hiyo kuwawezesha watoto kufuga sungura nyumbani huku akisisitiza  ufugaji wa sungura kuwa ni rahisi, unafanyika nyumbani kwenye  eneo dogo, sungura wakiwa na uwezo wa kuzaa watoto 8 mpaka 12 kwa uzao mmoja.

"Watoto wanapenda sana sungura, ni rahisi kumuwezesha mtoto kufuga sungura nyumbani, yakiwa ni maandalizi ya kuwa mfugaji hapo baadaye akiwa kwenye maisha yake, sungura anabeba mimba kati ya siku 5 -35,  na wana uwezo wa kuzaa mara tano kwa mwaka, sungura ambao watauzwa na kufanyika kama chakula cha nyumbani" amesisitiza Dkt. Kiwone.

Allan Salvatory, ni mfugaji wa sungura, kitongoji cha Mbalakai, amekiri yeye na rafiki zake kupenda sungura na wanampatia kipato ambacho hutumia kununua mahitaji yake ya shule huku wengine wakitumika kama kitoweo nyumbani.

"Mimi ninafuga sungura, niliona kwa rafiki yangu anafuga, nikamamua kununua sungura wawili na kuanza kufuga, sungura wana faida, wakikua nawauza, nimeambiwa mkojo wake hutumika kuulia wadudu, bado sijaanza kuuuza huwa nawagawia watu bure". Amesema Allan

Naye Abdal Mvungi mtoto anayeishi Sekei, amekiri kuwa, ni rahisi kufuga sungura kwa kuwa mlo wao mkuu  ni pumba, majani na maji, ana uwezo wa kuwahudumia mara baada ya kutoka shuleni, na ukuaji wake huchukua miezi 8 -10 kuliwa.


SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022 ✍✍









Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.