Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anawatangazia waombaji waliofaulu Usaili wa nafasi za kazi Kada ya Mtendaji wa Kijiji III (10) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Arusha tarehe 01.08.2022 usahili wa mahojiano.
Hivyo unatakiwa kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha ndani ya siku kumi na nne (14) tangu kutolewa kwa tangazo hili.
MAJINA YA WALIOITWA KAZINI YAMEAMBATANISHWA
BOFYA HAPA >>>>>>>>>KUITWA KAZINI KADA YA MTENDJI WA KIJIJI.pdf
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.