Dira ya Halmashauri ya Arusha ni kuwahudumia wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2025.
Uongozi wa halmashauri ya Arusha unakumbuka kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere huku, halmashauri ikijivunia matokeo chanya tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika.
Sote ni mashahidi Serikali ya awamu ya sita imeendelea kujikita kuboresha miundombinu katika sekta ya elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara huku jamii ikishirikishwa katika utekelezaji wa miradi katika maeneo yao.
Aidha halmashauri inawapongeza wananchi na wadau wote wa Maendeleo kwa kushiriki kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata zote 27 vijiji 67 na vitongoji 256.
DAIMA TUTUKUKUMBUKA MWALIMU 1922 - 1999
ARUSHA DC
KaziInaendelea ✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.