Watoto wametakiwa kutambua kuwa ni wajibu wao kutoa taarifa kwa walimu wanaowaamini pindi wanapohisi au kufanyiwa vitendo vya ukatili na wazazi, walezi na jamii zao ikiwemo kukeketwa, mimba na ndoa za utotoni.
Rai hiyo imetolewa na wadau wa Watoto kutoka shirika la Ace Africa na Center for Women and Children Development (CWCD) wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Kike duniani yaliyofanyika kwenye shule ya Msingi Engalaoni kata ya Mwandeti halmashauri ya Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.