Na. Elinipa Lupembe.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, anawatangazia wananchi wote kushiriki kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani 2020, yatakayoanza rasmi tarehe 01-07, Agosti 2020.
Maadhimisho hayo yatazinduliwa kesho kwenye Kijiji cha Lemanda Kata ya Oldonyosambu, ambapo Watalamu wa Afya kitengo cha Lishe, watatoea Elimu ya Unyonyeshaji Bora kwa wanananchi na wakazi wa kijiji cha Lemanda.
Aidha maadhimisho hayo yatafanyika wiki nzima kwa kfanyika shughuli mbalimbali zinazohusu lishe ya Unyonyshaji kwenye kata zote za halmashauri ya Arusha.
Kauli Mbiu ya Wiki ya Unyonyeshaji 2020:
Sote kwa pamoja: "Tuwawezeshe Wanawake Kunyonyesha kwa Afya Bora na Ulinzi wa Mazingira"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.