Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata kumi na moja Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru wamepatiwa msaada wa biskeli 11 na makabati 11 kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Johs Snow Ink 'JSI' Kanda ya Kaskazini na kati linalojishughulisha na masuala ya Ulinzi na Usalama wa mtoto.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vitendea kazi hivyo Mkurugenzi wa JSI ndugu Antony Mwendabaka amesema kuwa shirika limefikia uamuzi huo baada ya kuona changamoto ya usafiri na utunzaji kwa kumbukumbu unaowakabili watendaji hao katika kutekeleza majukumu yao kwa kulinganisha na Jiografia ya maeneo yao.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.