Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na kambi ya madaktari bingwa wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika kituo cha Afya Cha Nduruma kwa Muda wa siku 5.
HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA NI
1. Tiba ya magonjwa ya Watoto
2. Tiba ya magonjwa ya ndani (moyo, kisuukari, figo, na shinikizo la damu)
3. Tiba ya Wanawake na mzazi
4. Tiba ya mfumo wa mkojo
5. Tuba ya magonjwa ya kinywa na neno
6. Huduma ya Tonara (wanaume)
7. Huduma ya upasuaji wa Aina zote. n.k
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.