• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MADED ARUSHA DC NA MERU DC WAWATAKA WAKULIMA KUTUMIA FURSA ZA TEKNOLOJIA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

Posted on: August 8th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Wakurugenzi halmashauri ya Arusha Seleman Msumi na Halmashauri ya Meru  Mwl. Zainabu Makwinya, zote za Wilaya ya Arumeru wakianagalia kuku aina ya silki wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini Eneo la Themi Njiro Jijini Arusha.

Mabanda ya Halmashauri za Arusha na Meru yamesheheni watalamu, wakulima na wafugaji kwa ushirikiano wakitoa elimu ya teknolojia mbalimbali za kilimo ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa za kilimo, matumizi ya mbegu bora, utunzaji wa mashamba na mazao shambani, udhibiti wa magonjwa ya mazao, utunzaji wa mazao pamoja na mnyororo wa thamani kufikia Ajenda 10- 30 Kilimo Biashara.

Aidha katika mabanda ya Mifugo kumesheheni teknolojia za wanyama hai, vifaa vya kusindika mazao ya wanyama  maziwa, mayai, nyama na ngozi, mnyororo wa thamani kupitia mazao ya mifugo, Nishati ya kinyesi cha wanyama 'iogas' , teknolojia ya Uhimilishaji ng'ombe uzalishaji wa kupandikiza kupitia chupa , usajili wa mifugo kwa njia ya kielekroniki kwa pamoja ni kufikia Ajenda ya 10 -30 Kilimo ni Biashara.

Wakurugenzi hao wamebainisha kuwa, Serikali kupitia halmasahuri zao za Arusha na Meru zinawawezesha wakulima na Wafugaji kutumia teknolojia za kisasa katika kilimo ili kufikia Ajenda 10-30 ya Kilimo Biashara.

Ili kufikia Ajenga10-30, Wakurugenzi hao kwa pamoja wamewataka wafugaji na wakulima wa halmashauri hizo, kuwatumia Maafisa Ugani katika maeneo yao, ili kupata utalamu na mbinu na teknolojia za kisasa kufanya kilimo cha kisasa chenye tija kwa maendeleo yawakulima na Taifa kwa ujumla.

Aidha wakurugenzi hao wanawakaribisha wafugaji na wakulima wote kutembelea mabanda yao kwenye maonyesho na hatimaye kufika kwenye ofisi za Halmashauri ya Arusha ya Meru,  kujipatia fursa Mikopo ya Pembejeo zenye riba nafuu ambazo kila mkulima wa kitanzania anamudu ili kufikia malengo.

Kauli Mbiu ya Nanenane 2022 ni "AJENDA YA 10 -30 KILIMO NI BIASHARA 'SHIRIKI KUHESABIWA KWA MIPANGO BORA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI"


PICHA ZA MATUKIO

Mkurugenzi Mtndaaji Halmashaufiya Arusha Weleman Msumi,( wa kwanaa kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri yaMeeu, Mwl. Zainabu Makwinyu, wakiwa kwenye mabanda ya Mifugo ya Halmashauri hizo.






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.