Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela amewataka wajumbe wa Baraza la madiwani pamoja na Kamati ya Ukaguzi halmashauri ya Arusha kusimamia ujibuji wa hoja za ukaguzi wa ndani ili kuondoa hoja za mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Mhe Mongela amesema hayo wakati wa mkutano maalum wa Baraza la Madiwa wa kujadili Hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali za halamsahuri ya Arusha kwa mwaka wa fedha 2021/2023 na kuwasisitiza waheshimiwa madiwani kufuatilia Hoja hizo kwenye Vikao vyao va kisheria ili kuondoa hoja hizo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.