• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Madiwani watatu waapishwa leo Arusha DC

Posted on: November 23rd, 2018

Madiwani watatu kutoka kata tatu za hamashauri ya Arusha, wameapishwa leo, kutumikia nafasi hizo, wakati wa Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa halmashauri hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, Dkt. Wilson Mahera, amewataja madiwani hao kuwa ni Mheshimiwa Raymond Lairumbe wa kata ya Oldonyosam, mheshimiwa Lembris Mollel wa kata ya Ilboro na mheshimiwa Godfray Mashele wa kata ya Mlangarini.

Madiwani hao, wameapishwa baada ya kupita bila kupingwa, kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kutangaza uchaguzi mara baada ya Madiwani hao, kukihama  kilichokuwa chama chao, Chama cha Demokrasia na Maendeleo - (CHADEMA) na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) mapema mwezi ulipita.

Aidha Madiwani hao, Waliapishwa na Waakili Patricia Kisinda, baada ya Mwanasheria, wa halmashauri ya Arusha, Eliasifiwe Kileo kuelezea, uhalali wa Madiwani hao kuapishwa na kufafanua kuwa, Madiwani hao wanaapishwa kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sura ya 292.

Hata hivyo kwa mujibu wa Kanuni ya  56 kifungu kidogo cha pili ya Tume ya Taifa ya uchaguzi, Msimamizi mkuu wa Uchaguzi, ngazi ya Halmashauri na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera amewakabidhi vyeti vya udiwani, madiwani hao watatu.


PICHA ZA MATUKIO WAKATI WA KUAPISHWA MADIWANI

Mheshimiwa Lembris Mollel Diwani wa kata ya Ilboru, akila kiapo wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Mheshimiwa Raymond Lairumbe, Diwani wa kata ya Oldonyosambu, akila kiapo mara baada ya kupita bila kupingwa kwenye kata yake, amekula kiapo hicho, wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Mheshimiwa Godfray Mashele,  Diwani wa kata ya Mlangarini, akila kiapo mara baada ya kupita bila kupingwa, Diwani huyo ameapishwa wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Dkt, Wilson Mahera akimkabidhi cheti cha Udiwani, Mheshimiwa Raymond Lairumbe, Diwani wa kata ya Oldonyosambu, mara baada ya kuapishwa wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Dkt, Wilson Mahera akimkabidhi cheti cha Udiwani, Mheshimiwa Godfray Mashele, Diwani wa kata ya Mlangarini, mara baada ya kuapishwa wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Mheshimiwa Lembris Mollel Diwani wa kata ya Ilboru, akionyesha cheti cha udiwani mara baada ya kuapishwa, wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani, kwenye ukumbi wa Mikutano, halmashauri ya Arusha.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.