Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Nduruma unaendelea vizuri uko kwenye hatua ya kuweka bati kwenye majengo manne ambayo yameshapuliwa.
Majengo hayo yanejengwa kwa kutumia Force Account inayoruhusu kutumia Local Fundi kwa usimamizi wa Kamati ya Ujenzi ya Kata ya Nduruma chini ya uangalizi wa Wataalamu Washauri wa idara ya Ujenzi na Kitengo cha Manunuzi Halmashauri ya Arusha.
Matumizi ya Force Account yanapunguza gharama za ujenzi kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na gharama kubwa za kutumia Wakandarasi wakubwa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.