Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya vyumba 5 vya madarasa kwenye ghorofa ya pili, shule ya Sekondari Kiranyi uko hatua ya kupaua.
Mradi huu unajumuisha vyumba 5 vya madarasa, viti na meza 200 na ofisi ya walimi, kwa gharama ya shilingi milioni 100, fedha kutoka Serikali Kuu, maarufu kama 'POCHI LA MAMA', ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, watakaopangiwa kwa mwaka wa masomo utakaoanza Januari 2023.
ARUSHA DC
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.