• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HATIMAYE POCHI LA MAMA KUKAMILISHA JENGO LA GHOROFA MBILI SEKONDARI KIRANYI

Posted on: November 27th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Hayawi hayawi sasa yamekuwa hatimaye shilingi milioni 100 fedha za Pochi la Mama, zinategemea kukamilisha jengo la ghorofa mbili shule ya Sekondari Kiranyi, ujenzi ambao uko katika hatua za mwisho za ukamilishaji.

Kiasi hicho cha fedha kimejumuisha ujenzi wa  vyumba 5 vya madarasa, ofisi ya walimu, viti na meza 5 za walimu pamoja viti na meza 200 za wanafunzi, fedha kutoka Serikali Kuu, maarufu kama 'POCHI LA MAMA'.

Mkuu wa shule ya sekondari Kiranyi, Mwl. Omary Nyango, amebainisha kuwa, ujenzi wa vyumba 5, umefanikisha kukamilisha jengo la ghorofa 2 lenye jumla ya vyumba vya madarasa 18, viti na meza 450 vya wanafunzi pamoja na viti na meza 5 za walimu.

 Amefafanua kuwa ukamilishaji wa jengo hilo umefanyika kwa awamu mbili ambapo mwaka wa fedha 2021/2022 serikali ilitoa fedha kiasi cha shilingi milioni 260 na kutumika kujenga vyumba 13 vya madarasa na ofisi za walimu, zikiwa ni fedha za mapambano dhidi ya UVIKO 19.

Kwa awamu ya pili mwaka wa fedha 2022/2023 serikali ikaongeza fedha kiasi cha shilingi milioni 200 za kujenga vyumba 5 vya madarasa , madarasa ambayo yamekamilisha jengo hilo la ghorofa 2, na kufanya mazingira ya kujifunzi na kufundishia kuwa ya uhakika zaidi kwa walimu na wanafunzi.

"Jengo hili la ghorofa 2 lina jumla ya vyumba 18 vya madarasa na ofisi tatu za walimu na meza na viti, kwa pamoja vimegharimu shilingi milioni 360". Amefafanua Mkuu huyo wa shule

Ifahamike kuwa mradi huu wa ujenzi ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 - 2025 wa kuboresha miundombinu ya elimu nchini, huku zote zikiwa ni  za nje ya bajeti, kwa bajeti ya halmashauri iliyoidhinishwa na Bunge kwa miaka yote hiyo miwili.

ARUSHA DC
KaziInaedelea✍✍


PICHA ZA MAENDELEO YA UJENZI WA VYUMBA 5 VYA MADARASA



Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.